JUA KUITAMBUA SAUTI YA NABII WA KWELI KATIKA DUNIA HII NA KIZAZI CHA LEO KUTOKA KWA MTUME.PETER NYONDO - PATA NAKALA YA VITABU MBALIMBALI KUTOKA WA MTUME PETER NYONDO

Latest

Recent Posts

PATA VITABU VYENYE UBORA WA MAFUNDISHO YA KUKUIMARISHA KATIKA WOKOVU KUTOKA KWA MTUME.PETER NYONDO

Tuesday, October 29, 2019

JUA KUITAMBUA SAUTI YA NABII WA KWELI KATIKA DUNIA HII NA KIZAZI CHA LEO KUTOKA KWA MTUME.PETER NYONDO

Nyakati ambazo zilitabiriwa kutoka kwenye kitabu kitakatifu BIBLIA kimefafanua kuhusu ujio huu wa manabii wa uongo na ndo mana mtumishi wa MUNGU Apostle.Peter Nyondo akaona aandike kitabu hiki cha kutambua sauti ya nabii wa kweli katika dunia yetu na kizazi cha leo please chukua nakala hii hautojuta kabisa kabisa itakufungua akili

No comments:

Post a Comment